Rochdale Rotary Club
Rochdale Masonic Buildings
Richard Street
Rochdale
OL11 1DU
contactus@accessible-edibles.org

A VIDEO ABOUT OUR URBANFARM PROJECT

Video hii ni kuhusu mradi wetu wa UrbanFarm ®.

URBANFARM WAPIKA KITOWEO CHA MBOGA CHA GHARAMA YA CHINI KWA NJIA RAHISI

Video hii inaonyesha jinsi ya kununua mboga za bei ya chini na kupika huku tukitumia nishati bora. Tunatumia viungo vilivyonunuliwa dukani kutoa bakuli kumi na mbili za kitoweo cha mboga yenye lishe bora kwa shilingi kumi ya (Kenya Ksh10) kila bakuli (bei ya Novemba 2013).