Rochdale Rotary Club
Rochdale Masonic Buildings
Richard Street
Rochdale
OL11 1DU
contactus@accessible-edibles.org

HABARI KUHUSU MIFUKO YA UKUZAJI YA URBANFARM

Bonyeza hapa kwa mwongozo wa UrbanFarm.MASWALI YA KIBIASHARA YAMEKARIBISHWA

Majaribio yetu yameonyesha kuwa matumizi ya UrbanFarm kibiashara yanaweza kuwa na faida. Kwa mfano, huko Uingereza mfuko mmoja wa plastiki, mbolea na mbegu iliyopandwa ya Nyanya hugharimu takriban KSH 61 kwa begi moja. Mfuko wa wastani utatoa kilo mbili na nuzu za nyanya katika msimu mmoja. Bei nyanya mwaka huu (2013) KSH 520 kwa kilo. Katika hali hii uwekezaji wa KSH 61 utarudisha KSH 1300 kwa hivyo hii ina faida nzuri kibiashara na pia kwa ufadhili wa hisani.

Tuna miundo miwili ya mifuko iliyosajiliwa kwa huu ukulima. Mmoja wa hii miundo ni UrbanFarm® na mwingine ni Edibles®

Hii mifuko inawezatumika bila malipo kwa wale wanaohusika katika kazi za hisani, lakini kwa mashirika ya kibiashara ambayo inaweza kutengeneza na kuuza hii mifuko, tunatarajia kuwa yanaweza kutoa ada inayoweza kujadiliwa kwa Leseni.

Asilimia mia moja ya ada hizi zitatumika kwa uaminifu kwa Misaada ya Kitaifa, na Kimataifa.GARANTI NA MAKANUSHO

Mapungufu ya Dhima

HABARI YOTE ILIYO KWENYE HII TOVUTI NI "KAMA ILIYO" BILA GARANTI WALA MASHARTI YEYOTE, ILIYO ELEZEWA KWA UWAZI AU LA, ISPOKUWA MASHARTI AU GARANTI ZA UUZAJI YAYOELEZWA KWA UWAZI. HATUNA WAJIBU WOWOTE KWA MAKOSA AMA UKOSEFU WA HABARI YA AINA YOYOTE KWENYE STAKABADHI ZOZOTE ZILIZOTAJWA KWENYE HII TOVUTI . HATUNA WAJIBU WOWOTE WA KUGHANAMIA HASARA KUTOKANA NA MATUMIZI YA HABARI ILIYOKO KWENYE HII TOVUTI KWA NJIA YEYOTE (IKIZINGATIA HASARA INAYOTOKANA NA:

  1. KUTEGEMEA HABARI NA STAKABADHI ZILIZO HAPA

  2. GHARAMA YA VIFAA MPYA,

  3. KUTOPATA MANUFAA YA MATUMIZI YA MFUMO HUU WA UKULIMA AU HARARA,

  4. KUCHELEWESHWA KIBIASHARA AU MADAKIZO,

  5. NADHARIA YEYOTE YA DHIMA, KULINGANA NA, AU KUTOKANA NA MATUMIZI YA VIFAA AU HABARI YEYOTE. HII TOVUTI INAWEZA KUWA NA HABARI ISIYO SAHIHI, NA PIA HABARI ILIYO KWENYE HII TOVUTI YAWEZA KUBADILISHWA WAKATI WOWOTE BILA KUFAMISHWA.